Mwambegele

Wednesday, April 15, 2009

KIWIRA MWANKEJA





Hapa ni Kiwira Mwankenja. Mji mdogo kama kilomita 15 kabla ya kufika Tukuyu. Miaka ya nyuma palikuwa na sifa mbaya ya wizi wa mipfukoni (pick pocket) uliopindukia. Kwa sasa hapa mahali ni shwari
Posted by Picasa

3 Comments:

At 4:12 PM, Blogger mwankenja said...

Mwambegele,
Umenikumbusha nyumbani kabisaa,samahani kwa kuchukua baadhi za picha ulizopiga kiwira nakuziweka kwenye http://fastnoteonline.com

 
At 4:12 PM, Blogger mwankenja said...

This comment has been removed by the author.

 
At 4:14 PM, Blogger mwankenja said...

Mwambegele,
Umenikumbusha nyumbani kabisaa,samahani kwa kuchukua baadhi za picha ulizopiga kiwira nakuziweka kwenye http://fastnoteonline.com

 

Post a Comment

<< Home