Mwambegele

Monday, December 14, 2009

KYELA FM RADIO







Kyela FM Radio (96 MHZ) iko hewani baada ya kuijaribu mwishoni mwa mwezi Novemba, 2009. Inasikika karibu Mkoa wote wa Mbeya na nchi jirani. Wananchi wa Kyela kaeni mkao wa burudani. Kwa sasa wanamalizia matengenezo madogo madogo. Hata hivyo inapatika angalau kwa saa moja kila siku. Hii ni hatua kubwa ya maendeleo kwa wakazi wa Kyela. Hongera saaaaaaaaaana. Mdau mkubwa wa hii radio kanijulisha kuwa hii ni katika kujitahidi kuendelea kuiweka Kyela kwenye chati.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home