Mwambegele

Monday, March 01, 2010

THE MARULA TREE




Katika nchi za Kusini mwa Afrika, mti unaoitwa Marula (unaosemekana kuwa ni chanzo cha kinywani kinachoitwa Amarula kinachopendwa sana na akina dada watanashati) unaonekana mahali pengi. Kuna mwenzangu mmoja aliniambia kuwa hata hapa Tanzania unapatikana. Kwa mimi ilikuwa mara yangu ya kwanza kuuona hapa. Nilichukuwa picha hizi kwenye geti la kuingilkia Gaborone Dam jijini Gabororone, Botswana.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home