Mwambegele

Wednesday, April 21, 2010

SHAMBA LA NDIZI



Kijiji kwetu kuna baadhi ya wakulima hulima ndizi kitaalam. Hata hivyo nasikia siku hizi wafanyabiashara hununua ndizi hata kabla haijachipua na hivyo kumpunja mkulima. Kama ilivyo kwa lumbesa, biashara hii haifaidishi mkulima. Ipo haja ya kuipiga marufuku biashara ya aina hii.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home