Mwambegele

Thursday, March 26, 2009

PROSTATE PILL


Kidonge hiki ni mkombozi, kitasaidia wagonjwa wengi na kuepukana na kuchomwa mionzi; tiba ya saratani ambayo ndiyo inaaminiwa sasa. Ni uvumbuzi muhimu wa wataalam wa Kiingereza. Habari hii ilitolewa kwenye Gazeti la Daily Mail la Uingereza.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home