Mwambegele

Thursday, February 18, 2010

MIEMBE YA MUDA MFUPI







Nimeanza kuyafaidi maembe haya baada ya kuyapand miaka mitatu iliyopita. Miche niliinunua pale TTSA MOROGORO. Nadhani yanaitwa "Matombo Sweet" na kweli ni matamu

1 Comments:

At 2:59 AM, Blogger Unknown said...

Nakupati wapi baba, unipe ujuzi huo wa maembe?

 

Post a Comment

<< Home