Mwambegele

Saturday, March 06, 2010

ZIARA YA CABINET SECRETARIAT BOTSWANA




Hivi karibuni, maafisa wa Cabinet Secretariat walitembelea Botswana kwa ziara ya mafunzo. Pichani maafisa hao wakipokelewa na Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Botswana. Picha kwa hisani ya gazeti la Daily News la Botswana. Ujumbe uliongozwa na Mheshimiwa Eric Shitindi; Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma (anayetabasamu; katikati. Bi Angelina Madete haonekani kwenye picha

0 Comments:

Post a Comment

<< Home