Mwambegele

Wednesday, April 21, 2010

NDANYELITE BUKOMU




Ipo simulizi kuwa mahala hapa panaitwa "Ndanyelite Bukomu" (hii ni lugha ya kindali ya wilaya ya Ileje). Maana yake "Sijaruka vizuri". Hii ni sehemu inayoonekana kuwa ndogo sana na mto Kiwira wote hupita katika sehemu hii. yasemekana (na inaweza kuwa ni ni utani tu) Wandali wengi walikuwa wanakufa hapa kwa kudhani kuwa wanaweza kuruka hapa. Walipojaribu walitumbukia mtoni na kufa maji. Kwa sasa pamejengwa daraja. Sehemu hii ipo karibu sana na Chuo cha Magereza Kiwira

2 Comments:

At 4:10 AM, Blogger Unknown said...

i like the picture.
imenikumbusha mbali sana .
well done
Dr Shimwela Meshack

 
At 5:36 AM, Blogger Mwambegele said...

Thanks, Dr.

 

Post a Comment

<< Home