Mwambegele

Wednesday, April 21, 2010

MTO SONGWE





Huu ni mto Songwe ambao ni mpaka kati ya Malawi na Tanzania. Kule ng'ambo ni Malawi. Wanavijiji wa nchi hizi mbili hushirikiana bila matatizo yoyote. Bidhaa huvushwa kutoka na kwenda Malawi bila matatizo yoyote kwa kutumia mitumbwi. Hapa ni kijijini kitwika. Hii inadhihirisha kuwa mipaka iliyowekwa na wakoloni haijawabagua wananchi katika sehemu kama hii.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home