Mwambegele

Wednesday, April 21, 2010

KAKAO






Zao la kakao ni muhimu sana kwa uchumi wa Wilaya ya Kyela

2 Comments:

At 3:41 AM, Anonymous john said...

kweli wewe ni mzawa wa kyeala kwa maana umtuonyeahs hata ain za makakao,kinachohitajika kwa sasa ni kuwaelimisha wananchi jinsi ya kustawisha zao hili,ili na sisi wana kyela tujulikane kimataifa na tupatiwe soko la bishara kama mazao mengi. Ndaga nkamu gwangu .

 
At 3:43 AM, Anonymous Mwakyusa said...

kyela ni wilaya iliyojaliwa na mwenyezi Mungu kwa inaongoza kwa kilimo cha mpunga mzuri unaojulikana Tanzanai nzima na kupendwa na watu wote.

 

Post a Comment

<< Home