Mwambegele

Thursday, April 22, 2010

KAKAO




Rafiki yangu Mwakasyuka kanieleza kuwa zao hili hustawi katika Wilaya za Kyela na Rungwe. Kilo moja ka cocoa kwa sasa ni Tshs 2900/=. Mche mmoja wa kakao unaweza kutoa kilo 40 kwa msimu. kwa mahesabu ya haraka haraka mti mmoja unaweza kumpa mkulima Tshs 100,000/= kwa msimu. Kwa hiyo mkulima aliye na miti ya kakao 1,000/ anaweza kupata Tshs 100,000,000/= kwa msimu. Yeye mwenyewe anajiandaa kuwa mkulima wa zao hili siku za usoni.

0 Comments:

Post a Comment

<< Home