Mwambegele

Sunday, October 21, 2007

MAKABURI YA JERUSALEM


Makaburi ya Jerusalem. Inasemekana mablionea Ulimenguni wamenunua maeneo ya makaburi hapa na kuzikwa hapa ili siku ile ya hukumu/ufufuo, wawe karibu na lango la kuingia Jijini Jerusalem linaloonekana kwa nyuma.

SUPU YA KONOKONO


Napenda sana supu ya aina hii