Mwambegele

Friday, June 24, 2011

CARNIVORE NAIROBI - A Beast of Feast






Carnivore, Nairobi. Wanyama wengi huchinjwa kufaninikisha jiko hili. tangu mwaka 2004 nyama pori haipo tena. inasemekana Serikali iilipiga marufuku. Isipokuwa ya mamba, ngamia na nyingine za kawaida hupatikana

CARNIVORE NAIROBI - A Beast of Feast






Carnivore, Nairobi. Wanyama wengi hupoteza maisha ili kufaninikisha jiko hili. tangu mwaka 2004 nyama pori haipo tena. kuna tangazo limewekwa mezani kuwa ilipigwa marufuku. Isipokuwa ya mamba, ngamia na nyingine za kawaida hupatikana

NILIPOMSHIKA MKONO RAIS



Niliposhikana mkono na Rais, ilibidi nisinawe wiki nzima nisije ondoa baraka.

Thursday, June 02, 2011

MGEMA TEMBO




.....akigema

MGEMA TEMBO



... aikishuka baada ya kugema. Tayari kwa kupeleka bidhaa hii kwa walaji