Monday, March 30, 2009
Sunday, March 29, 2009
Friday, March 27, 2009
Thursday, March 26, 2009
Wednesday, March 25, 2009
NEW DELHI
Nilipotembelea New Delhi, kitu kikubwa kilichonishangaza ni jinsi ng'ombe wenye afya nzuri wanavyozurura mitaani. Ng'ombe hao ni stadi kweli hata kwa kupishana na magari. Kwa ujumla ng'ombe hao wana afya nzuri na hakuna anayewasumbua. Niliuliza na kuambiwa kuwa ng'ombe ni mnyama anayeheshimiwa sana mjini humo kwani ana uhusiano na imani ya kidini. Hii ndiyo sababu pia Wahindi wenye imani ya dhehebu hilo hawali nyama ya ng'ombe. Ona ng'ombe hao walivyonona.