Mwambegele

Tuesday, May 31, 2011

LIFE AFTER FIFTY


Kuna mtu aliwahi kuniambia kuwa life starts at forty. Kwangu mimi life starts now; at fifty

Monday, May 30, 2011

MY 50th BIRTHDAY


Siku ya kutimiza miaka 50 ya kuzaliwa kwangu, Bupe alinizawadia poem. Anasema:
The Best Dad is here,
Everyone rise and cheer'
For he is 50 years,
And this is his year,
He has reached 1/2 a century,
And he is cheerful,
AND HE IS OUR DADDY.

Honestly, this has inspired me.

MY 50th BIRTHDAY


Siku ya kutimiza miaka 50 ya kuzaliwa kwangu, watoto wangu waliniambia I AM THE BEST DADDY IN THE WORLD.
Nakuthibitishia hawakuwa wanatania

MY 50th BIRTHDAY


Siku ya kutimiza miaka 50 ya kuzaliwa kwangu, watoto wangu walinipa zawadi hii...

WORLD ECONOMIC FORUM



Tanzania ilikuwa mwenyeji wa World Economic Forum on Africa mwaka 2010. Siku ya kufunga Sherehe hizi tarehe 6 Mei, 2010, ilikuwa ndiyo siku ya kuzaliwa kwangu. Kila mmoja alisherehekea. Hata magazeti yaliona

WORLD ECONOMIC FORUM



Tanzania ilikuwa mwenyeji wa World Economic Forum on Africa mwaka 2010. Siku ya kufunga Sherehe hizi tarehe 6 Mei, 2010, ilikuwa ndiyo siku ya kuzaliwa kwangu. Msanii huyu alikuwepo kutuonyesha kipaji chake

WORLD ECONOMIC FORUM



Tanzania ilikuwa mwenyeji wa World Economic Forum on Africa mwaka 2010. Siku ya kufunga Sherehe hizi tarehe 6 Mei, 2010, ilikuwa ndiyo siku ya kuzaliwa kwangu. Nilipata zawadi ya maandishi haya.

LUBUNGA BYAOMBE



Lubunga Byaombe in a light moment with Tanzanian delegates

WERASON



Tukiwa Kinshasa, mimi na rafiki yangu Muhsin, tulipata bahati ya kupiga picha na Mwanamuziki Werason

CHURA WA KIHANSI


Ni kiumbe mdogo aishiye kwenye spray za Kihansi

CHURA WA KIHANSI



Wanamazingira huenda kummtembelea

CHURA WA KIHANSI



Nyumban kwa chura wa Kihansi