Mwambegele

Sunday, March 21, 2010

GADAFFI NA MUUNGANO WA AFRIKA


Gado na Gaddaffi....kazi nzuri ya kisanii (Source: Michuzi Blog)

Tuesday, March 16, 2010

TUKUYU MORAVIAN BOOKSHOP




I used to buy my African Writers Series books during my teenage. A bigger portion of the pocket money Mum used to give me ended up in this bookshop. Now over about fourty years, my kids fodly read the novels.

SIKU YA GULIO KIWIRA MWANKENJA
















SIKU YA GULIO KIWIRA MWANKENJA
















SIKU YA GULIO KIWIRA MWANKENJA
















SIKU YA GULIO KIWIRA MWANKENJA











Monday, March 15, 2010

DR MPANGO WA MIPANGO


Leo Rais Jakaya Mrisho Kikwete amwapisha Dr Phillip Isdor Mpango kuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango. Pamoja naye wameapishwa Naibu Makatibu wa Tume ya Mipango wanne. (Picha kwa hisani ya Michuzi Blog - Globu ya Jamii)

Saturday, March 06, 2010

THE MARULA TREE FRUIT







Tunda la MARULA

ZIARA YA CABINET SECRETARIAT BOTSWANA




Hivi karibuni, maafisa wa Cabinet Secretariat walitembelea Botswana kwa ziara ya mafunzo. Pichani maafisa hao wakipokelewa na Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jamhuri ya Botswana. Picha kwa hisani ya gazeti la Daily News la Botswana. Ujumbe uliongozwa na Mheshimiwa Eric Shitindi; Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma (anayetabasamu; katikati. Bi Angelina Madete haonekani kwenye picha

BWANA AFYA







Wanakaa hata juu ya nyumba

BWANA AFYA




Wanakaa popote........hata juu ya miti

BWANA AFYA






Kule Mwanza hawa ndege wanajulikana kwa jina la Bwana Afya

Wednesday, March 03, 2010

KHAMA III, SEBELE I NA BATHOEN I







Viongozi wa Makabila makuu ya Botswana walioilinda Botswana ili isitekwe na kuunganishwa na Afrika Kusini, Hawa ni Khama III (babu wa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Botswana - Sir Seretse Khama), Sebele I na Bathoen I.

t

THE MARULA TREE




Chini ya Mti

THE MARULA TREE











Juu ya Mti wa Marula

THE MARULA TREE




Katika nchi za kusini mwa Afrika, Mti aw

a Maruala ni maarufu sana. kuna mwenzangu mmoja aliniambia kuwa hata hapa Tanzania upo katika baadhi ya maeneo. Picha hizi nilizichukuwa kwenye Geti la kuingilia Gaborone Dam jijini Gaborone, Botswana

Monday, March 01, 2010

THE MARULA TREE




Katika nchi za Kusini mwa Afrika, mti unaoitwa Marula (unaosemekana kuwa ni chanzo cha kinywani kinachoitwa Amarula kinachopendwa sana na akina dada watanashati) unaonekana mahali pengi. Kuna mwenzangu mmoja aliniambia kuwa hata hapa Tanzania unapatikana. Kwa mimi ilikuwa mara yangu ya kwanza kuuona hapa. Nilichukuwa picha hizi kwenye geti la kuingilkia Gaborone Dam jijini Gabororone, Botswana.