Mwambegele

Friday, April 17, 2009

JENGO LA BUNGE LETU


Jengo la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavyoonekana kutoka ndani ya wigo wake.
Posted by Picasa

YOU ARE THE ROSE IN MY LIFE




My better half gave me this Chinese simple work of art . It is on my desk for over seven years now. It gives me inspiration.
Posted by Picasa

SCOTLAND YARD


Nilipotembelea London, nilipita nje ya ofisi hizi za Scotland Yard. Nikaamua ni-pose hapo kwenye bango la Scotland Yard linalozunguka kupata picha moja ya ukumbusho.

Wednesday, April 15, 2009

KIWIRA MWANKEJA





Hapa ni Kiwira Mwankenja. Mji mdogo kama kilomita 15 kabla ya kufika Tukuyu. Miaka ya nyuma palikuwa na sifa mbaya ya wizi wa mipfukoni (pick pocket) uliopindukia. Kwa sasa hapa mahali ni shwari
Posted by Picasa

RUNGWE SECONDARY SCHOOL




Posted by Picasa


SHULE YA SEKONDARI RUNGWE: Kilele cha Mlima Rungwe kinaonekana kwa nyuma

MAJI KIJIJINI

 

 

 

 

Kijijini kwetu hatuna shida ya maji.
Posted by Picasa

LUPATINGATINGA




Posted by Picasa<
Lupatingatinga: shule, mto Lupa, Msufini na mlima Ikingo

Wednesday, April 08, 2009

KATIBU WA BUNGE


Jana tarehe 8 Aprili, 2009 Rais Jakaya Mrisho Kikwete alimwapisha Katibu wa Bunge Dk. Thomas Didimu Kashilillah (source Michuzi blog)

Monday, April 06, 2009

MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU 1962

MINISTERS
1962

The Prime Minister, Mr.R.K. Kawawa (Elected) … … … … Member for Nachigwea
The Minister for Justice, Al-Haj Chief A.S. Fundikira (Elected) … … Member for Tabora
The Minister for Agriculture, Mr. D.N.M. Bryceson (Elected) … … Member for Dar es Salaam
The Minister for Commerce and Indurstrial, Mr. A.H. Jamal (Elected) … Member for Bukoba
The Minister for Home Affaris, Mr. O.S.Kambona (Elected) … … Member for Morogoro
The Minister for Local Government and Administration,
Mr. J.M.Lusinde (Elected) … … … … Member for Dodoma
The Minister for Co-operative and Community Development,
Mr. J.S. Kasambala (Elected) … … … ... Member for Rugwe
The Minister for Edcucation and Information Services,
Mr. S.N.Eliufoo (Elected) … … … … Member for Moshi
The Minister for Health and Labour Mr. M.M.Kamaliza (Elected) … … Member for Kilosa
The Minister without Portfolio,Mr.S.A. Maswanya (Elected) … … Member for Kahama




PERMANENT SECRETARIES

To the Prime Ministers Office Mr. I.M. Bhoke Munanka … … … … North Mara
Mr. E.A. Kisenge … … … … … Pare
To the Ministry of Agriculture Mr. E.B.M Barongo … … … … … Busubi
To the Ministry of Communications Power and Works Chief E.A.M. Mang’enya … Tanga Coast
To the Ministry of Local Government and Administration Mr. F.V. Mponji… … Tunduru
To the Ministry of Co-operative and Community Development Miss Lucy S.Lameck Nominated Member
To the Ministry of Education and Information Service Mr. Al-Noor Kassu … … Dodoma
To the Ministry of Commerce and Industry Mr. M.R.Kundya … … … Singida