Mwambegele

Thursday, April 22, 2010

KAKAO




Rafiki yangu Mwakasyuka kanieleza kuwa zao hili hustawi katika Wilaya za Kyela na Rungwe. Kilo moja ka cocoa kwa sasa ni Tshs 2900/=. Mche mmoja wa kakao unaweza kutoa kilo 40 kwa msimu. kwa mahesabu ya haraka haraka mti mmoja unaweza kumpa mkulima Tshs 100,000/= kwa msimu. Kwa hiyo mkulima aliye na miti ya kakao 1,000/ anaweza kupata Tshs 100,000,000/= kwa msimu. Yeye mwenyewe anajiandaa kuwa mkulima wa zao hili siku za usoni.

Wednesday, April 21, 2010

ASKOFU MUZOREWA AFARIKI




Askofu Abel Muzorewa wa Zimbabwe amefariki dunia mjini Hararetarehe 10 Aprili 2010 akiwa na umri wa miaka 85. Habari Askofu Muzorewa alikuwa anaitwa kibaraka wa wazungu. Hata hivyo alishiriki katika mapambano ya uhuru wa Zimbabwe.

http://www.nytimes.com/2010/04/10/world/africa/10muzorewa.html

SOURCE swahilitime.blogspot.com

FROM BUPE TO DAD




Barua kutoka kwa Bupe. Barua hii inanipa moyo (this letter gives me inspiration)

MY ANGELS





These are my angels. they are accompanied by Cousin Farida in one of the picts. Mama yao is in the background of one of the picts.She is the one who gave me this gift

NGOMA ZA JADI





Tulipata nafasi ya kupiga picha na wacheza ngoma za jadi

SALEHE MWANAMILONGO





Huyu ndiye Salehe Mwanamilongo anayetupa habari za Radio Deutsche Welle kutoka Kinshasa. Wadau walipata nafasi ya kupiga picha naye kwenye Mkutano wa SADC Septemba, 2009

LUBUNGA BYAOMBE



Huyu ndiye Lubunga Byaombe anayetupa habari za BBC lutoka Kinshasa. Wadau walipata nafasi ya kupiga picha naye kwenye Mkutano wa SADC Septemba, 2009. Unaoonekana kwenye background ni mto Congo

AKINA DADA WA KITWIKA






Niliwakuta akina dada hawa kijinini Kitwika wakisuka kwa maandalizi ya sikukuu ya krismass na mwaka mpya. walisema wangefurahi sana kuziona picha za kwenye utaalam huu wa sasa. Nimetimiza ombi lao. Hapa ni mita chache kutoka mto Songwe; mpaka wa Tanzania na Malawi

KAKAO






Zao la kakao ni muhimu sana kwa uchumi wa Wilaya ya Kyela

MBALAGA




Mbalaga kwa kiti moto. Mlo safi kwa wanaovuka mto Songwe kijijini Kitwika

MTO SONGWE





Huu ni mto Songwe ambao ni mpaka kati ya Malawi na Tanzania. Kule ng'ambo ni Malawi. Wanavijiji wa nchi hizi mbili hushirikiana bila matatizo yoyote. Bidhaa huvushwa kutoka na kwenda Malawi bila matatizo yoyote kwa kutumia mitumbwi. Hapa ni kijijini kitwika. Hii inadhihirisha kuwa mipaka iliyowekwa na wakoloni haijawabagua wananchi katika sehemu kama hii.

NDANYELITE BUKOMU




Ipo simulizi kuwa mahala hapa panaitwa "Ndanyelite Bukomu" (hii ni lugha ya kindali ya wilaya ya Ileje). Maana yake "Sijaruka vizuri". Hii ni sehemu inayoonekana kuwa ndogo sana na mto Kiwira wote hupita katika sehemu hii. yasemekana (na inaweza kuwa ni ni utani tu) Wandali wengi walikuwa wanakufa hapa kwa kudhani kuwa wanaweza kuruka hapa. Walipojaribu walitumbukia mtoni na kufa maji. Kwa sasa pamejengwa daraja. Sehemu hii ipo karibu sana na Chuo cha Magereza Kiwira

SHAMBA LA NDIZI



Kijiji kwetu kuna baadhi ya wakulima hulima ndizi kitaalam. Hata hivyo nasikia siku hizi wafanyabiashara hununua ndizi hata kabla haijachipua na hivyo kumpunja mkulima. Kama ilivyo kwa lumbesa, biashara hii haifaidishi mkulima. Ipo haja ya kuipiga marufuku biashara ya aina hii.

NDIZI MBIVU



Wachuuzi wa ndizi Kiwira Mwankenja

FLAVIANA MATATA


Russell Simmons is in a New Relationship With a Former Miss Tanzania


April 18, 2010. Russell Simmons is now three months in his new relationship with former 2007 Miss Tanzania, Flaviana Matata. Although, the couple has been dating for three months they only have been public for the past week. Congratulations to the new couple, and hope this one lasts.(SOURCE Swahilitime blog)

LANDMARK HOTEL MJINI NEU LANGENBURG





Landmark Hotel jijini Neu Langenburg. Ni kati ya vivutio vinavyoupa hadhi mji wa Tukuyu